Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 42 - فُصِّلَت - Page - Juz 24
﴿لَّا يَأۡتِيهِ ٱلۡبَٰطِلُ مِنۢ بَيۡنِ يَدَيۡهِ وَلَا مِنۡ خَلۡفِهِۦۖ تَنزِيلٞ مِّنۡ حَكِيمٍ حَمِيدٖ ﴾
[فُصِّلَت: 42]
﴿لا يأتيه الباطل من بين يديه ولا من خلفه تنـزيل من حكيم﴾ [فُصِّلَت: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ubatilifu haukifikii kutoka upande wowote katika pande Zake, na hakuna kitu chenye kukibatilisha, kwani hiko kimetunzwa kisipunguzwe wala kisizidishwe. Ni teremsho kutoka kwa Mwingi wa hekima katika kuendesha mambo ya waja Wake, Mwenye kushukuriwa kwa sifa za ukamilifu Alizonazo |