×

Huambiwi ila yale yale waliyo ambiwa Mitume wa kabla yako. Hakika Mola 41:43 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Fussilat ⮕ (41:43) ayat 43 in Swahili

41:43 Surah Fussilat ayat 43 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 43 - فُصِّلَت - Page - Juz 24

﴿مَّا يُقَالُ لَكَ إِلَّا مَا قَدۡ قِيلَ لِلرُّسُلِ مِن قَبۡلِكَۚ إِنَّ رَبَّكَ لَذُو مَغۡفِرَةٖ وَذُو عِقَابٍ أَلِيمٖ ﴾
[فُصِّلَت: 43]

Huambiwi ila yale yale waliyo ambiwa Mitume wa kabla yako. Hakika Mola wako Mlezi bila ya shaka ni Mwenye maghfira, na ni Mwenye adhabu chungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما يقال لك إلا ما قد قيل للرسل من قبلك إن ربك, باللغة السواحيلية

﴿ما يقال لك إلا ما قد قيل للرسل من قبلك إن ربك﴾ [فُصِّلَت: 43]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hawakwambii hao washirikina, ewe Mtume, isipokuwa kile ambacho washakisema kabla yao ummah waliopita kuwaambia Mitume wao. Basi vumilia juu ya kinachokupata katika njia ya ulinganizi kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako ni Mwenye msamaha mwingi wa dhambi za wenye kutubia, ni mwenye mateso kwa mwenye kuendelea kumkufuru na kumkanusha
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek