Quran with Swahili translation - Surah Fussilat ayat 54 - فُصِّلَت - Page - Juz 25
﴿أَلَآ إِنَّهُمۡ فِي مِرۡيَةٖ مِّن لِّقَآءِ رَبِّهِمۡۗ أَلَآ إِنَّهُۥ بِكُلِّ شَيۡءٖ مُّحِيطُۢ ﴾
[فُصِّلَت: 54]
﴿ألا إنهم في مرية من لقاء ربهم ألا إنه بكل شيء محيط﴾ [فُصِّلَت: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Jueni na mtanabahi kuwa hawa makafiri wako kwenye shaka kubwa kuhusu kufufuliwa baada ya kufa. Jueni na mtanabahi kuwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, Amekizunguka kila kitu kwa ujuzi, uweza na ushindi, hakuna chochote kinachofichamana Kwake ardhini wala mbinguni |