Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 19 - الشُّوري - Page - Juz 25
﴿ٱللَّهُ لَطِيفُۢ بِعِبَادِهِۦ يَرۡزُقُ مَن يَشَآءُۖ وَهُوَ ٱلۡقَوِيُّ ٱلۡعَزِيزُ ﴾
[الشُّوري: 19]
﴿الله لطيف بعباده يرزق من يشاء وهو القوي العزيز﴾ [الشُّوري: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja Wake, Anamkunjulia riziki Anayemtaka na Anambania hiyo riziki Anayemtaka, Na Yeye Ndiye Mwenye nguvu ambaye nguvu zote Anazo, Aliye Mshindi katika kuwatesa wenye kumuasi |