×

Naye ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, na 42:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:28) ayat 28 in Swahili

42:28 Surah Ash-Shura ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 28 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَهُوَ ٱلَّذِي يُنَزِّلُ ٱلۡغَيۡثَ مِنۢ بَعۡدِ مَا قَنَطُواْ وَيَنشُرُ رَحۡمَتَهُۥۚ وَهُوَ ٱلۡوَلِيُّ ٱلۡحَمِيدُ ﴾
[الشُّوري: 28]

Naye ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, na hueneza rehema yake. Naye ndiye Mlinzi Mwenye kuhimidiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو الذي ينـزل الغيث من بعد ما قنطوا وينشر رحمته وهو الولي, باللغة السواحيلية

﴿وهو الذي ينـزل الغيث من بعد ما قنطوا وينشر رحمته وهو الولي﴾ [الشُّوري: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Peke Yake Ndiye Anayeteremsha mvua kutoka mbinguni, Akawanyeshea kwayo baada ya kukata tamaa kunyesha kwake, Akaeneza rehema Yake kwa viumbe Vyake, Akawapa mvua ya kuwaenea, na Yeye Ndiye Mtegemewa, Anawasaidia waja Wake kwa hisani Yake na wema Wake, Msifiwa kwa uongozi wake na uendeshaji mambo Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek