×

Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na wanyama alio 42:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:29) ayat 29 in Swahili

42:29 Surah Ash-Shura ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 29 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَمِنۡ ءَايَٰتِهِۦ خَلۡقُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَثَّ فِيهِمَا مِن دَآبَّةٖۚ وَهُوَ عَلَىٰ جَمۡعِهِمۡ إِذَا يَشَآءُ قَدِيرٞ ﴾
[الشُّوري: 29]

Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na wanyama alio waeneza. Naye ni Mwenye uweza wa kuwakusanya apendapo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن آياته خلق السموات والأرض وما بث فيهما من دابة وهو على, باللغة السواحيلية

﴿ومن آياته خلق السموات والأرض وما بث فيهما من دابة وهو على﴾ [الشُّوري: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na miongoni mwa alama za kuonyesha ukubwa Wake, uweza Wake na mamlaka Yake ni uumbaji mbingu na ardhi kwa namna ambayo hakukuwa na mfano uliotangulia na aina mbalimbali za wanyama Alizozieneza humo. Na Yeye, kuwakusanya viumbe baada ya kufa kwao kwa kisimamo cha Kiyama, Anapotaka ni Muweza, hakuna kinachomshinda
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek