Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 35 - الشُّوري - Page - Juz 25
﴿وَيَعۡلَمَ ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِيصٖ ﴾
[الشُّوري: 35]
﴿ويعلم الذين يجادلون في آياتنا ما لهم من محيص﴾ [الشُّوري: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wajue wale wanaojadili kuhusu aya zetu zenye kutolea dalili upweke wetu kwa njia ya ubatilifu, hawatakuwa na mahali pa kupita wala pa kuhamia kujiepusha na mateso ya Mwenyezi Mungu Atakapowatesa kwa dhambi zao na ukanushaji wao |