×

Na Mwenyezi Mungu angeli penda ange wafanya wote umma mmoja, lakini anamwingiza 42:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shura ⮕ (42:8) ayat 8 in Swahili

42:8 Surah Ash-Shura ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shura ayat 8 - الشُّوري - Page - Juz 25

﴿وَلَوۡ شَآءَ ٱللَّهُ لَجَعَلَهُمۡ أُمَّةٗ وَٰحِدَةٗ وَلَٰكِن يُدۡخِلُ مَن يَشَآءُ فِي رَحۡمَتِهِۦۚ وَٱلظَّٰلِمُونَ مَا لَهُم مِّن وَلِيّٖ وَلَا نَصِيرٍ ﴾
[الشُّوري: 8]

Na Mwenyezi Mungu angeli penda ange wafanya wote umma mmoja, lakini anamwingiza katika rehema yake amtakaye. Na wenye kudhulumu hawana mlinzi wala msaidizi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو شاء الله لجعلهم أمة واحدة ولكن يدخل من يشاء في رحمته, باللغة السواحيلية

﴿ولو شاء الله لجعلهم أمة واحدة ولكن يدخل من يشاء في رحمته﴾ [الشُّوري: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau Angalitaka Mwenyezi Mungu Kuwakusanya viumbe Wake kwenye uongofu na kuwafanya wawe kwenye mila moja iliyoongoka angalifanya hivyo, lakini Yeye Anataka kuwatia kwenye rehema Yake Anaowataka miongoni mwa waja Wake. Na wale wenye kuzidhulumu nafsi zao kwa kufanya ushirikina, basi hao hawatakuwa na yoyote wa kumtegemea atakayesimamia mambo yao Siku ya Kiyama, wala msaidizi atakayewanusuru kutokana na adhabu ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek