Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 12 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَٱلَّذِي خَلَقَ ٱلۡأَزۡوَٰجَ كُلَّهَا وَجَعَلَ لَكُم مِّنَ ٱلۡفُلۡكِ وَٱلۡأَنۡعَٰمِ مَا تَرۡكَبُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 12]
﴿والذي خلق الأزواج كلها وجعل لكم من الفلك والأنعام ما تركبون﴾ [الزُّخرُف: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Aliyeumba aina zote za wanyama na mimea, na Akawawekea majahazi mnayoyapanda baharini, na Akawaumbia wale mnaowapanda barani miongoni mwa wanyama, kama vile ngamia, farasi, nyumbu na punda |