×

Au amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyo viumba, na akakuteulieni nyinyi watoto 43:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:16) ayat 16 in Swahili

43:16 Surah Az-Zukhruf ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 16 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿أَمِ ٱتَّخَذَ مِمَّا يَخۡلُقُ بَنَاتٖ وَأَصۡفَىٰكُم بِٱلۡبَنِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 16]

Au amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyo viumba, na akakuteulieni nyinyi watoto wanaume

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم اتخذ مما يخلق بنات وأصفاكم بالبنين, باللغة السواحيلية

﴿أم اتخذ مما يخلق بنات وأصفاكم بالبنين﴾ [الزُّخرُف: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, kwani nyinyi mnadai, enyi wajinga, kuwa Mola wenu Amejichagulia, katika vile Anavyoviumba, watoto wa kike, na hali nyinyi hamliridhii hilo kwenu, na Akawahusu nyinyi kwa kuwapatia watoto wa kiume? Haya ni makaripio kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek