×

Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee 43:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:28) ayat 28 in Swahili

43:28 Surah Az-Zukhruf ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 28 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَجَعَلَهَا كَلِمَةَۢ بَاقِيَةٗ فِي عَقِبِهِۦ لَعَلَّهُمۡ يَرۡجِعُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 28]

Na akalifanya hili liwe neno lenye kubaki katika vizazi vyake ili warejee

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجعلها كلمة باقية في عقبه لعلهم يرجعون, باللغة السواحيلية

﴿وجعلها كلمة باقية في عقبه لعلهم يرجعون﴾ [الزُّخرُف: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Ibrāhīm, amani imshukie, alilifanya neno la kumpwekesha Mwenyezi Mungu (Lā ilāha illā Allāh) ni lenye kusalia baada yake, kwa kutarajiwa warudi kumtii Mola wao na kumpwekesha. Na kutubia kutokana na ukanushaji wao na dhambi zao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek