Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 29 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿بَلۡ مَتَّعۡتُ هَٰٓؤُلَآءِ وَءَابَآءَهُمۡ حَتَّىٰ جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ وَرَسُولٞ مُّبِينٞ ﴾
[الزُّخرُف: 29]
﴿بل متعت هؤلاء وآباءهم حتى جاءهم الحق ورسول مبين﴾ [الزُّخرُف: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali niliwastarehesha hawa washirikina wa watu wako, ewe mtume, na wazazi wao kabla yao kwa uhai, sikuwaharakishia adhabu kwa ukanushaji wao mpaka ikawajia Qur’ani na Mtume wa kuwabainishia wanachokihitajia katika mambo ya Dini yao |