Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 41 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَإِمَّا نَذۡهَبَنَّ بِكَ فَإِنَّا مِنۡهُم مُّنتَقِمُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 41]
﴿فإما نذهبن بك فإنا منهم منتقمون﴾ [الزُّخرُف: 41]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na iwapo tutakufisha, ewe Mtume, kabla hujanusuriwa juu ya wakanushaji wa watu wako, basi sisi ni wenye kuwalipiza wao kwa kuwaadhibu huko Akhera |