Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 42 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿أَوۡ نُرِيَنَّكَ ٱلَّذِي وَعَدۡنَٰهُمۡ فَإِنَّا عَلَيۡهِم مُّقۡتَدِرُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 42]
﴿أو نرينك الذي وعدناهم فإنا عليهم مقتدرون﴾ [الزُّخرُف: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au tutakuonyesha lile tulilowaahidi la adhabu yenye kuwashukia, kama ilivyokuwa siku ya Badr, kwani sisi tuna uweza juu yao tutakupa ushindi juu yao na tutawafedhehi kwa mkono wako na kwa mikono ya wenye kukuamini |