×

Je! Unaweza kuwasikilizisha viziwi, au unaweza kuwaongoa vipofu na waliomo katika upotofu 43:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:40) ayat 40 in Swahili

43:40 Surah Az-Zukhruf ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 40 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿أَفَأَنتَ تُسۡمِعُ ٱلصُّمَّ أَوۡ تَهۡدِي ٱلۡعُمۡيَ وَمَن كَانَ فِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٖ ﴾
[الزُّخرُف: 40]

Je! Unaweza kuwasikilizisha viziwi, au unaweza kuwaongoa vipofu na waliomo katika upotofu ulio wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أفأنت تسمع الصم أو تهدي العمي ومن كان في ضلال مبين, باللغة السواحيلية

﴿أفأنت تسمع الصم أو تهدي العمي ومن كان في ضلال مبين﴾ [الزُّخرُف: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, kwani wewe, ewe mtume, unamsikilizisha yule ambaye Mwenyezi Mungu Amemfanya kiziwi akawa haisikii haki, au unamuongoza kwenye njia ya uongofu yule ambaye Mwenyezi Mungu Ameupofusha moyo wake akawa haioni haki, au unamuongoza yule aliyepotoka waziwazi akawa kando ya haki? Hayo si yako. Lako wewe ni kufikisha ujumbe, na si juu yako kuwafanya waongoke, lakini Mwenyezi Mungu Anamuongoza Anayemtaka na Anampoteza Anayemtaka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek