Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 69 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ بِـَٔايَٰتِنَا وَكَانُواْ مُسۡلِمِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 69]
﴿الذين آمنوا بآياتنا وكانوا مسلمين﴾ [الزُّخرُف: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale walioziamini aya zetu na wakayafuata kivitendo yale walioletewa na Mitume wao, wakawa ni wenye kumtii Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe vyote, kwa nyoyo zao na viungo vyao |