Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 77 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَنَادَوۡاْ يَٰمَٰلِكُ لِيَقۡضِ عَلَيۡنَا رَبُّكَۖ قَالَ إِنَّكُم مَّٰكِثُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 77]
﴿ونادوا يامالك ليقض علينا ربك قال إنكم ماكثون﴾ [الزُّخرُف: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hao wahalifu waliomkanusha Mwenyezi Mungu, baada ya Mwenyezi Mungu kuwatia kwenye moto wa jahanamu, watamwita Malik, mshika hazina za Moto kwa kusema, «Ewe Malik! Basi na Atufishe Mola wako, tupate kupumzika na haya tuliyonayo,” Hapo Malik awajibu, «Nyinyi ni wenye kukaa, hamna kutoka Motoni na hamna makimbilio ya kujiepusha nao.” |