Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 76 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَمَا ظَلَمۡنَٰهُمۡ وَلَٰكِن كَانُواْ هُمُ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 76]
﴿وما ظلمناهم ولكن كانوا هم الظالمين﴾ [الزُّخرُف: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatukuwadhulumu wahalifu hawa kwa kuwaadhibu , isipokuwa ni wao wenyewe ndio waliojidhulumu nafsi zao kwa kushirikisha kwao na kukataa kuwa Mwenyezi Mungu Ndie Mola wa haki, Aliye Peke Yake, Asiye na Mshirika na kuacha kuwafuata Mitume wa Mola wao |