Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 8 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَأَهۡلَكۡنَآ أَشَدَّ مِنۡهُم بَطۡشٗا وَمَضَىٰ مَثَلُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الزُّخرُف: 8]
﴿فأهلكنا أشد منهم بطشا ومضى مثل الأولين﴾ [الزُّخرُف: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yashapita mateso ya wa mwanzo kwa kuangamizwa kwa sababu ya ukanushaji wao, ujeuri wao na kuwacheza shere Mitume wao. Katika haya pana maliwazo kwa Nabii, rehema na amani zimshukie |