×

Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minong'ono yao? Wapi! Na wajumbe 43:80 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:80) ayat 80 in Swahili

43:80 Surah Az-Zukhruf ayat 80 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 80 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿أَمۡ يَحۡسَبُونَ أَنَّا لَا نَسۡمَعُ سِرَّهُمۡ وَنَجۡوَىٰهُمۚ بَلَىٰ وَرُسُلُنَا لَدَيۡهِمۡ يَكۡتُبُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 80]

Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minong'ono yao? Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم يحسبون أنا لا نسمع سرهم ونجواهم بلى ورسلنا لديهم يكتبون, باللغة السواحيلية

﴿أم يحسبون أنا لا نسمع سرهم ونجواهم بلى ورسلنا لديهم يكتبون﴾ [الزُّخرُف: 80]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Au kwani wanadhani, hawa wenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu, kuwa sisi hatusikii yale wanayoyaficha ndani ya nafsi zao na kunong’onezana baina yao? Basi sivyo hivyo, sisi tunasikia na tunajua, na wajumbe wetu ambao ni Malaika watukufu na watunzi wanawaandikia yote waliyoyafanya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek