Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 87 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَلَئِن سَأَلۡتَهُم مَّنۡ خَلَقَهُمۡ لَيَقُولُنَّ ٱللَّهُۖ فَأَنَّىٰ يُؤۡفَكُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 87]
﴿ولئن سألتهم من خلقهم ليقولن الله فأنى يؤفكون﴾ [الزُّخرُف: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ukiwauliza, ewe Mtume, hao washirikina wa watu wako, ”Ni nani aliyewaumba?” watasema, «Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyetuumba.” Basi vipi wao wanageuka na wanapotoka kwa kuacha kumuabudu Mwenyezi Mungu, Peke Yake, na kumshirikisha na asiyekuwa Yeye |