×

Wala hao mnao waomba badala yake Yeye hawana uweza wa kumwombea mtu, 43:86 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:86) ayat 86 in Swahili

43:86 Surah Az-Zukhruf ayat 86 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 86 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَلَا يَمۡلِكُ ٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ مِن دُونِهِ ٱلشَّفَٰعَةَ إِلَّا مَن شَهِدَ بِٱلۡحَقِّ وَهُمۡ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 86]

Wala hao mnao waomba badala yake Yeye hawana uweza wa kumwombea mtu, isipo kuwa anaye shuhudia kwa haki, na wao wanajua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولا يملك الذين يدعون من دونه الشفاعة إلا من شهد بالحق وهم, باللغة السواحيلية

﴿ولا يملك الذين يدعون من دونه الشفاعة إلا من شهد بالحق وهم﴾ [الزُّخرُف: 86]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawamiliki, wale ambao washirikina wanawaabudu, uwezo wa kumuombea yoyote mbele ya Mwenyezi Mungu isipokuwa wale waliyoishuhudia haki na wakakubali upweke wa Mwenyezi Mungu na unabii wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wakawa na yakini ya uhakika wa kile walichokikubali na kukitolea ushahidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek