Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 89 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿فَٱصۡفَحۡ عَنۡهُمۡ وَقُلۡ سَلَٰمٞۚ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 89]
﴿فاصفح عنهم وقل سلام فسوف يعلمون﴾ [الزُّخرُف: 89]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wasamehe, ewe Mtume, na uyapuuze makero yao, na lisitokee lolote kutoka kwako isipokuwa amani ambalo ni neno linalosemwa na wenye akili na busara kuambiwa wajinga, kwani wao hawatukanani na wao wala hawawalipizi kwa vitendo vyao vibaya waliowafanyia. Basi watajua watakachokikuta cha balaa na adhabu. Hapa pana onyo na kitisho kikubwa kwa makafiri hawa wenye kushindana na mfano wao |