Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 30 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿وَلَقَدۡ نَجَّيۡنَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ مِنَ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡمُهِينِ ﴾
[الدُّخان: 30]
﴿ولقد نجينا بني إسرائيل من العذاب المهين﴾ [الدُّخان: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, tuliwaokoa Wana wa Isrāīl kutokana na adhabu yenye kuwafanya wanyonge kwa kuuawa watoto wao wa kiume na kutumishwa wanawake wao |