Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 31 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿مِن فِرۡعَوۡنَۚ إِنَّهُۥ كَانَ عَالِيٗا مِّنَ ٱلۡمُسۡرِفِينَ ﴾
[الدُّخان: 31]
﴿من فرعون إنه كان عاليا من المسرفين﴾ [الدُّخان: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kutokana na Fir’awn. Hakika yeye alikuwa mjeuri, miongoni mwa washirikina, aliyepita mpaka katika kujigamba na kuwafanyia kiburi waja wa Mwenyezi Mungu |