Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 49 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿ذُقۡ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡكَرِيمُ ﴾
[الدُّخان: 49]
﴿ذق إنك أنت العزيز الكريم﴾ [الدُّخان: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ataambiwa mfanya dhambi huyo mbaya, «Onja adhabu hii unayoadhibiwa kwayo Leo! Hakika wewe ni mheshimiwa katika watu wako, ulio mtukufu kwao.» Katika haya kuna kumfanyia maskhara na kumlaumu |