Quran with Swahili translation - Surah Ad-Dukhan ayat 55 - الدُّخان - Page - Juz 25
﴿يَدۡعُونَ فِيهَا بِكُلِّ فَٰكِهَةٍ ءَامِنِينَ ﴾
[الدُّخان: 55]
﴿يدعون فيها بكل فاكهة آمنين﴾ [الدُّخان: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wataka wachamungu hao huko Peponi waletewe kila aina ya matunda ya Peponi wanayoyatamani, wakiwa wamejiaminisha kuwa neema hizo hazitakatika wala hazitamalizika |