Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 33 - الجاثِية - Page - Juz 25
﴿وَبَدَا لَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا عَمِلُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[الجاثِية: 33]
﴿وبدا لهم سيئات ما عملوا وحاق بهم ما كانوا به يستهزئون﴾ [الجاثِية: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yakawafunukia hawa waliokuwa wakizikanusha aya za Mwenyezi Mungu yale matendo mabaya waliyoyafanya ulimwenguni, na ikawateremkia adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwa ni malipo ya yale waliokuwa wakiyafanyia shere |