×

Na anapo kijua kitu kidogo katika Aya zetu hukifanyia mzaha. Watu hao 45:9 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jathiyah ⮕ (45:9) ayat 9 in Swahili

45:9 Surah Al-Jathiyah ayat 9 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jathiyah ayat 9 - الجاثِية - Page - Juz 25

﴿وَإِذَا عَلِمَ مِنۡ ءَايَٰتِنَا شَيۡـًٔا ٱتَّخَذَهَا هُزُوًاۚ أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ عَذَابٞ مُّهِينٞ ﴾
[الجاثِية: 9]

Na anapo kijua kitu kidogo katika Aya zetu hukifanyia mzaha. Watu hao ndio watakao kuwa na adhabu ya kufedhehesha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا علم من آياتنا شيئا اتخذها هزوا أولئك لهم عذاب مهين, باللغة السواحيلية

﴿وإذا علم من آياتنا شيئا اتخذها هزوا أولئك لهم عذاب مهين﴾ [الجاثِية: 9]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na huyu mrongo sana mwingi wa dhambi anapojua kitu katika aya zetu anazifanyia shere na mzaha. Hao watakuwa na adhabu itakayowadhakikisha na kuwatia kwenye hizaya Siku ya Kiyama, ikiwa ni malipo ya kuicheza shere kwao Qur’ani
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek