×

Hao ndio ambao imehakikikishwa hukumu juu yao kama mataifa yaliyo kwisha pita 46:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahqaf ⮕ (46:18) ayat 18 in Swahili

46:18 Surah Al-Ahqaf ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 18 - الأحقَاف - Page - Juz 26

﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ حَقَّ عَلَيۡهِمُ ٱلۡقَوۡلُ فِيٓ أُمَمٖ قَدۡ خَلَتۡ مِن قَبۡلِهِم مِّنَ ٱلۡجِنِّ وَٱلۡإِنسِۖ إِنَّهُمۡ كَانُواْ خَٰسِرِينَ ﴾
[الأحقَاف: 18]

Hao ndio ambao imehakikikishwa hukumu juu yao kama mataifa yaliyo kwisha pita kabla yao miongoni mwa majini na watu. Hakika hao wamekuwa wenye kukhasiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أولئك الذين حق عليهم القول في أمم قد خلت من قبلهم من, باللغة السواحيلية

﴿أولئك الذين حق عليهم القول في أمم قد خلت من قبلهم من﴾ [الأحقَاف: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao ambao sifa zao ni hizi imepasa juu yao adhabu ya Mwenyezi Mungu, na yamewashukia mateso Yake na hasira Zake, wakiwa ni katika jumla ya ummah waliopita kabla yao, miongoni mwa majini na binadamu, waliokuwa kwenye ukafiri na ukanushaji. Kwa kweli wao ni wenye hasara kwa kuchagua upotevu na kuacha uongofu, na kuchagua adhabu na kuacha starehe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek