Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 30 - الأحقَاف - Page - Juz 26
﴿قَالُواْ يَٰقَوۡمَنَآ إِنَّا سَمِعۡنَا كِتَٰبًا أُنزِلَ مِنۢ بَعۡدِ مُوسَىٰ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ يَهۡدِيٓ إِلَى ٱلۡحَقِّ وَإِلَىٰ طَرِيقٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[الأحقَاف: 30]
﴿قالوا ياقومنا إنا سمعنا كتابا أنـزل من بعد موسى مصدقا لما بين﴾ [الأحقَاف: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr walisema, «Enyi jamaa zetu! Sisi tumesikia Kitabu kilichoteremshwa baada ya Mūsā, chenye kusadikisha Vitabu vya Mwenyezi Mungu vlivyokuwa kabla yake, ambavyo Mwenyezi Mungu Ameviteremsha kwa Mitume Wake, (Kitabu) ambacho kinaongoza kwenye haki na usawa na kwenye njia sahihi iliyonyoka |