Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahqaf ayat 31 - الأحقَاف - Page - Juz 26
﴿يَٰقَوۡمَنَآ أَجِيبُواْ دَاعِيَ ٱللَّهِ وَءَامِنُواْ بِهِۦ يَغۡفِرۡ لَكُم مِّن ذُنُوبِكُمۡ وَيُجِرۡكُم مِّنۡ عَذَابٍ أَلِيمٖ ﴾
[الأحقَاف: 31]
﴿ياقومنا أجيبوا داعي الله وآمنوا به يغفر لكم من ذنوبكم ويجركم من﴾ [الأحقَاف: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Enyi jamaa zetu! Muitikieni Mtume wa Mwenyezi Mungu Muhammad kwa kile anachowaitia, na muaminini yeye na myafuate kivitendo yale aliyoyaleta, Mwenyezi Mungu Atawasamehe dhambi zenu na Atawaokoa na adhabu yenye uchungu inayoumiza |