Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 11 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿ذَٰلِكَ بِأَنَّ ٱللَّهَ مَوۡلَى ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَأَنَّ ٱلۡكَٰفِرِينَ لَا مَوۡلَىٰ لَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 11]
﴿ذلك بأن الله مولى الذين آمنوا وأن الكافرين لا مولى لهم﴾ [مُحمد: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hilo tulilowafanyia watu wa mapote mawili: pote la Imani na pote la ukafiri, ni kwa kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Msimamizi wa Waumini na mwenye kuwanusuru, na kuwa makafiri hawana mwenye kuwasimamia wala kuwanusuru |