Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 23 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ لَعَنَهُمُ ٱللَّهُ فَأَصَمَّهُمۡ وَأَعۡمَىٰٓ أَبۡصَٰرَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 23]
﴿أولئك الذين لعنهم الله فأصمهم وأعمى أبصارهم﴾ [مُحمد: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao ndio wale ambao Mwenyezi Mungu Amewaepusha na rehema Yake Akawafanya wasiyasikie yanayowanufaisha wala wasiyaone na zisiwafunukie hoja za Mwenyezi Mungu pamoja na kuwa ni nyingi |