Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 24 - مُحمد - Page - Juz 26
﴿أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ ٱلۡقُرۡءَانَ أَمۡ عَلَىٰ قُلُوبٍ أَقۡفَالُهَآ ﴾
[مُحمد: 24]
﴿أفلا يتدبرون القرآن أم على قلوب أقفالها﴾ [مُحمد: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, si wayazingatie mawaidha ya Qur’ani wanafiki hawa na wazifikirie hoja zake? Lakini nyoyo hizi zimefungwa, hakuna kitu cha hii Qur’ani kinachozifikia, hivyo basi haziyatii akilini mawaidha ya Mwenyezi Mungu na mazingatio yake |