×

Kwa hakika walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi Mungu na wakapinzana 47:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Muhammad ⮕ (47:32) ayat 32 in Swahili

47:32 Surah Muhammad ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Muhammad ayat 32 - مُحمد - Page - Juz 26

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ وَشَآقُّواْ ٱلرَّسُولَ مِنۢ بَعۡدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمُ ٱلۡهُدَىٰ لَن يَضُرُّواْ ٱللَّهَ شَيۡـٔٗا وَسَيُحۡبِطُ أَعۡمَٰلَهُمۡ ﴾
[مُحمد: 32]

Kwa hakika walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi Mungu na wakapinzana na Mtume baada ya kwisha wabainikia uwongofu, hao hawatamdhuru Mwenyezi Mungu kwa lolote. Naye ataviangusha vitendo vyao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله وشاقوا الرسول من بعد ما, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله وشاقوا الرسول من بعد ما﴾ [مُحمد: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika ya wale waliokataa kuwa Menyezi Mungu Ndiye Mola wa haki Peke Yake Asiye na mshirika, wakawazuia watu na Dini Yake, wakaenda kinyume na Mtume wa Mwenyezi Mungu, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na wakampiga vita baada ya wao kujiwa na hoja na alama za kuwa yeye ni Nabii kutoka kwa Mwenyezi Mungu, hawataidhuru Dini ya Mwenyezi Mungu kitu chochote na Atayatangua malipo ya matendo yao waliyoyafanya duniani, kwa kuwa wao hawakutaka kwa matendo hayo radhi za Mwenyezi Mungu Aliyetukuka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek