×

Na awape adhabu wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume na 48:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Fath ⮕ (48:6) ayat 6 in Swahili

48:6 Surah Al-Fath ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 6 - الفَتح - Page - Juz 26

﴿وَيُعَذِّبَ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ وَٱلۡمُنَٰفِقَٰتِ وَٱلۡمُشۡرِكِينَ وَٱلۡمُشۡرِكَٰتِ ٱلظَّآنِّينَ بِٱللَّهِ ظَنَّ ٱلسَّوۡءِۚ عَلَيۡهِمۡ دَآئِرَةُ ٱلسَّوۡءِۖ وَغَضِبَ ٱللَّهُ عَلَيۡهِمۡ وَلَعَنَهُمۡ وَأَعَدَّ لَهُمۡ جَهَنَّمَۖ وَسَآءَتۡ مَصِيرٗا ﴾
[الفَتح: 6]

Na awape adhabu wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume na washirikina wanawake, wanao mdhania Mwenyezi Mungu dhana mbaya. Utawafikia mgeuko mbaya, na Mwenyezi Mungu awakasirikie, na awalaani, na awaandalie Jahannamu. Na hayo ni marudio maovu kabisa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويعذب المنافقين والمنافقات والمشركين والمشركات الظانين بالله ظن السوء عليهم دائرة السوء, باللغة السواحيلية

﴿ويعذب المنافقين والمنافقات والمشركين والمشركات الظانين بالله ظن السوء عليهم دائرة السوء﴾ [الفَتح: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Apate kuwaadhibu wanafiki wa kiume na wanafiki wa kike na washirikina wa kiume na washirikina wa kike wanaomdhania Mwenyezi Mungu dhana mbaya ya kuwa yeye Hatamnusuru Mtume na waliokuwa pamoja na yeye dhidi ya maadui wao na kuwa Yeye Hataipa ushindi Dini Yake. Basi juu ya hao utazunguka mzunguko wa adhabu na kila kilicho kibaya kwao, na Amewaandalia moto wa Jahanamu; na mashukio mabaya ya mtu kuishia ni hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek