Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 7 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿وَلِلَّهِ جُنُودُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا ﴾
[الفَتح: 7]
﴿ولله جنود السموات والأرض وكان الله عزيزا حكيما﴾ [الفَتح: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu, Alyetakasika na kutukuka, Ana askari wa mbinguni na ardhini. Anawanusuru kwa askari hao waja Wake Waumini. Na Mwenyezi Mungu ni Mshindi Mwenye uweza juu viumbe Vyake, ni Mwingi wa hekima katika kuendesha mambo yao |