Quran with Swahili translation - Surah Al-Fath ayat 8 - الفَتح - Page - Juz 26
﴿إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ شَٰهِدٗا وَمُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا ﴾
[الفَتح: 8]
﴿إنا أرسلناك شاهدا ومبشرا ونذيرا﴾ [الفَتح: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yetu sisi tumekutumiliza, ewe Mtume, uwe shahidi kwa umati wako juu ya ufikishaji ujumbe, uwabainishie kile ulichotumilizwa kwao, uwabashirie Pepo wanaokutii na uwaonye mateso ya sasa na ya baadaye |