×

Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni 49:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:10) ayat 10 in Swahili

49:10 Surah Al-hujurat ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 10 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿إِنَّمَا ٱلۡمُؤۡمِنُونَ إِخۡوَةٞ فَأَصۡلِحُواْ بَيۡنَ أَخَوَيۡكُمۡۚ وَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ لَعَلَّكُمۡ تُرۡحَمُونَ ﴾
[الحُجُرَات: 10]

Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنما المؤمنون إخوة فأصلحوا بين أخويكم واتقوا الله لعلكم ترحمون, باللغة السواحيلية

﴿إنما المؤمنون إخوة فأصلحوا بين أخويكم واتقوا الله لعلكم ترحمون﴾ [الحُجُرَات: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika Waumini ni ndugu katika Dini, basi fanyeni upatanishi baina ya ndugu zenu wawili wakipigana. Na mwogopeni Mwenyezi Mungu katika mambo yenu yote , kwa kutarajia mrehemewe
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek