Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 18 - الحُجُرَات - Page - Juz 26
﴿إِنَّ ٱللَّهَ يَعۡلَمُ غَيۡبَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَٱللَّهُ بَصِيرُۢ بِمَا تَعۡمَلُونَ ﴾
[الحُجُرَات: 18]
﴿إن الله يعلم غيب السموات والأرض والله بصير بما تعملون﴾ [الحُجُرَات: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mwenyezi Mungu Anayajua yasioonekana ya mbinguni na ardhini, hakuna chochote kinachofichamana kwake katika hayo. Na Mwenyezi Mungu Anayaona matendo yenu na Atawalipa kwayo, yakiwa mema Atawalipa wema, na yakiwa maovu Atawalipa uovu |