×

Na lau wao wangeli ngojea mpaka uwatokee ingeli kuwa kheri kwao. Na 49:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:5) ayat 5 in Swahili

49:5 Surah Al-hujurat ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 5 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿وَلَوۡ أَنَّهُمۡ صَبَرُواْ حَتَّىٰ تَخۡرُجَ إِلَيۡهِمۡ لَكَانَ خَيۡرٗا لَّهُمۡۚ وَٱللَّهُ غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[الحُجُرَات: 5]

Na lau wao wangeli ngojea mpaka uwatokee ingeli kuwa kheri kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو أنهم صبروا حتى تخرج إليهم لكان خيرا لهم والله غفور رحيم, باللغة السواحيلية

﴿ولو أنهم صبروا حتى تخرج إليهم لكان خيرا لهم والله غفور رحيم﴾ [الحُجُرَات: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau wangalisubiri mpaka ukawatokea ingalikuwa bora zaidi kwao mbele ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu Amewaamrisha wao kukuheshimu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa msamaha kwa yale yaliyotokea kwao ya madhambi na utovu wa adabu kwa kutojua kwao, ni Mwingi wa rehema kwao kwa kutowaharakishia mateso
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek