×

Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na neema zake. Na Mwenyezi Mungu ni 49:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hujurat ⮕ (49:8) ayat 8 in Swahili

49:8 Surah Al-hujurat ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hujurat ayat 8 - الحُجُرَات - Page - Juz 26

﴿فَضۡلٗا مِّنَ ٱللَّهِ وَنِعۡمَةٗۚ وَٱللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٞ ﴾
[الحُجُرَات: 8]

Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu na neema zake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فضلا من الله ونعمة والله عليم حكيم, باللغة السواحيلية

﴿فضلا من الله ونعمة والله عليم حكيم﴾ [الحُجُرَات: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kheri hii walioipata ni nyongeza njema kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu yao na ni neema. Na Mwenyezi Mungu Anamjua sana anayezishukuru neema Zake, ni Mwingi wa hekima katika kuendesha mambo ya viumbe Vyake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek