×

Wakasema: Ewe Musa! Huko wako watu majabari. Nasi hatutaingia huko mpaka wao 5:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:22) ayat 22 in Swahili

5:22 Surah Al-Ma’idah ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 22 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿قَالُواْ يَٰمُوسَىٰٓ إِنَّ فِيهَا قَوۡمٗا جَبَّارِينَ وَإِنَّا لَن نَّدۡخُلَهَا حَتَّىٰ يَخۡرُجُواْ مِنۡهَا فَإِن يَخۡرُجُواْ مِنۡهَا فَإِنَّا دَٰخِلُونَ ﴾
[المَائدة: 22]

Wakasema: Ewe Musa! Huko wako watu majabari. Nasi hatutaingia huko mpaka wao watoke humo. Wakitoka humo hapo tutaingia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا ياموسى إن فيها قوما جبارين وإنا لن ندخلها حتى يخرجوا منها, باللغة السواحيلية

﴿قالوا ياموسى إن فيها قوما جبارين وإنا لن ندخلها حتى يخرجوا منها﴾ [المَائدة: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Walisema, «Ewe Mūsā, hakika huko kuna watu wakali wenye nguvu ambao hatuna uwezo wa kupigana nao. Na sisi hatutaweza kuingia huko na wao wako. Watakapotoka huko, sisi tutaingia.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek