×

Ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa 5:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:28) ayat 28 in Swahili

5:28 Surah Al-Ma’idah ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 28 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿لَئِنۢ بَسَطتَ إِلَيَّ يَدَكَ لِتَقۡتُلَنِي مَآ أَنَا۠ بِبَاسِطٖ يَدِيَ إِلَيۡكَ لِأَقۡتُلَكَۖ إِنِّيٓ أَخَافُ ٱللَّهَ رَبَّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[المَائدة: 28]

Ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, Mola wa walimwengu wote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لئن بسطت إلي يدك لتقتلني ما أنا بباسط يدي إليك لأقتلك إني, باللغة السواحيلية

﴿لئن بسطت إلي يدك لتقتلني ما أنا بباسط يدي إليك لأقتلك إني﴾ [المَائدة: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hābīl akasema, akimpa mawaidha ndugu yake, «Iwapo utaunyosha mkono wako kwangu ili uniue, hutapata kutoka kwangu mfano wa kitendo chako. Mimi namuogopa Mwenyezi Mungu mola wa viumbe wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek