Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 29 - المَائدة - Page - Juz 6
﴿إِنِّيٓ أُرِيدُ أَن تَبُوٓأَ بِإِثۡمِي وَإِثۡمِكَ فَتَكُونَ مِنۡ أَصۡحَٰبِ ٱلنَّارِۚ وَذَٰلِكَ جَزَٰٓؤُاْ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[المَائدة: 29]
﴿إني أريد أن تبوء بإثمي وإثمك فتكون من أصحاب النار وذلك جزاء﴾ [المَائدة: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Mimi nataka urudi ukiwa umebeba dhambi la kuniua mimi na dhambi lililokuwa juu yako kabala ya hilo, upate kuwa ni miongoni mwa watu wa Motoni na watakaosalia humo. Na hayo ndiyo malipo ya wanaofanya uadui.» |