×

Je, wao wanataka hukumu za Kijahiliya? Na nani aliye mwema zaidi katika 5:50 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ma’idah ⮕ (5:50) ayat 50 in Swahili

5:50 Surah Al-Ma’idah ayat 50 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ma’idah ayat 50 - المَائدة - Page - Juz 6

﴿أَفَحُكۡمَ ٱلۡجَٰهِلِيَّةِ يَبۡغُونَۚ وَمَنۡ أَحۡسَنُ مِنَ ٱللَّهِ حُكۡمٗا لِّقَوۡمٖ يُوقِنُونَ ﴾
[المَائدة: 50]

Je, wao wanataka hukumu za Kijahiliya? Na nani aliye mwema zaidi katika kuhukumu kuliko Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أفحكم الجاهلية يبغون ومن أحسن من الله حكما لقوم يوقنون, باللغة السواحيلية

﴿أفحكم الجاهلية يبغون ومن أحسن من الله حكما لقوم يوقنون﴾ [المَائدة: 50]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, wanataka Mayahudi hawa uhukumu kati yao kwa yale ya upotevu na ujinga waliyoyazoea washirikina wanaoabudu masanamu? Hayo hayawi wala hayafai kabisa. Na ni nani aliye muadilifu zaidi kuliko Mwenyezi Mungu katika hukumu Yake kwa aliyeziifahamu sheria za Mwenyezi Mungu, akamuamini na akawa na yakini kwamba hukumu ya Mwenyezi Mungu ndiyo ya haki
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek