Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 17 - قٓ - Page - Juz 26
﴿إِذۡ يَتَلَقَّى ٱلۡمُتَلَقِّيَانِ عَنِ ٱلۡيَمِينِ وَعَنِ ٱلشِّمَالِ قَعِيدٞ ﴾
[قٓ: 17]
﴿إذ يتلقى المتلقيان عن اليمين وعن الشمال قعيد﴾ [قٓ: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi Malaika wawili wanaotunza, kuliani kwake na kushotoni kwake, wanapoyaandika matendo Yake: aliye kuliani anaandika mema na aliye kushotoni anaandika maovu |