Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 18 - قٓ - Page - Juz 26
﴿مَّا يَلۡفِظُ مِن قَوۡلٍ إِلَّا لَدَيۡهِ رَقِيبٌ عَتِيدٞ ﴾
[قٓ: 18]
﴿ما يلفظ من قول إلا لديه رقيب عتيد﴾ [قٓ: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hatamki neno kulisema isipokuwa mbele yake pana Malaika anayetunza maneno yake na kuyaandika, naye ni Malaika ambaye yupo wakati wote aliyeandaliwa kwa hilo |