Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 25 - قٓ - Page - Juz 26
﴿مَّنَّاعٖ لِّلۡخَيۡرِ مُعۡتَدٖ مُّرِيبٍ ﴾
[قٓ: 25]
﴿مناع للخير معتد مريب﴾ [قٓ: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr mwenye kuzuia kutekeleza haki zilizo juu yake katika mali yake, anaye wadhulumu waja wa Mwenyezi Mungu na kukiuka mipaka Yake, anayelifanyia shaka agizo la Mwenyezi Mungu na onyo Lake |